mustafajuniornews
Friday, November 19, 2010
pole
Pole sana Mbowe unaonekana una uroho wa madaraka na hujakomaa kisiasa kitendo cha kutoka bungeni kimekutia aibu na kukuonyesha wewe ni mtu wa aina gani, jifunze kutoka kwa CUF miaka iliyopia,hujui ulifanyalo
1 comment:
mustafajunior
November 19, 2010 at 1:25 AM
hakuna mtanzania aliyekutuma kutoka bungeni
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hakuna mtanzania aliyekutuma kutoka bungeni
ReplyDelete