Friday, November 19, 2010

opinion

This is my opinion

 The five day  , Training  for Internet  which we received was  very  good , i study   a new technologies and  how to use Internet  as well as  to search websites from   , international  and local media , the training is aiming to  improve my jobs

I think this training should be  sustainable in order  to improve our duties ,also the training will give us some opportunity to pursue further education jornalism.


Thanks  Misa tan    for this training 
somo lako limeeleweka limetusaidia kuelewa zaidi  matumizi ya blogger

pole

Pole sana Mbowe unaonekana una uroho wa madaraka na hujakomaa kisiasa kitendo cha kutoka bungeni kimekutia aibu na kukuonyesha wewe ni mtu wa aina gani, jifunze kutoka kwa CUF miaka iliyopia,hujui ulifanyalo

Pole na kipindi kwa siku ya leo

.

somo lako limeeleweka limetusaidia kuelewa zaidi  matumizi ya blogger

Thursday, November 18, 2010

ghailan

Nimepokea taarifa za maskitikokuhusu  kuhukumiwa kifo kwa Mtanzania Ahamed Khalfan Ghailan,ambae amehukumiwa na mahakama ya Marekani kwa tuhuma ya kushiri katika ughaid uliotekea mwaka 1998 katika miji ya Nairobi na Dar es Salaam ,kwa wakati mmoja ,ambapo watu 224 walifariki dunia .

Kwa mjibu wa taarifa hiyo imeeleza kuwa Ghailan alishitakiwa kwa kushirikiana na kikundi cha ugaidi cha Al Qaida, kufanya mashambulizi yaliyosababisha vifo, na uhalibifu wa mali  katika ublazi wa Marekani mjini Nairobi na Dar es Salaam,.

Ghailan ,alikuwa akikabiliwa na mashitaka 281 ambapo ,mahakama iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ,imemtia hatiani ,Ghailani, kwa  hatia moja pekee ya kupanga kuharibu mali na majengo ya serikali kati ya mashitaka 228 yaliyokuwa yakimkabili  mtuhumiwa.

Mahakama hiyo iliukataa ushihidi  uliokuwa umewasilishwa dhidi ya mtuhumiwa huyo  kwa sababu ulikusanywa na maafisa wa ujasusi wa Marekani CIA, katika magereza yasiyo rasmi nje ya Marekani kwa njia isiyofa ikiwa ni pamoja na  kumtesa ili akiri mashtaka dhidi yake na pia atoe habari zaidi mambo ambayo ni kinyume na haki za binadamu.
.
Uamuzi huo wa mahakama unaonekana kuwa pigo kubwa kwa utawala wa Rais Barack Obama, ambae aliapoingia madarakani aliahidi  kuwafungulia mashtaka washukiwa wote wa ugaidi wanaozuiliwa katika jela la Guantanamo Bay, katika mahakama ya kiraia,ikiwa ni pamoja na kulifunga gereza hilo ambalo hadi leo ahadi hiyo haijatekelezwa.


Adhabu aliyohukumiwa mtuhumiwa ni kubwa mno tofauti na kosa lenyewe ,aidha adhabu hiyo inachukuliwa kuwa ni chuki za kidini .

Habai hizi ni kwa mjibu wa shirika la utangazaji la Uingereza ,BBC.18 novemba 2010

wangariproffesor

Wednesday, November 17, 2010

holiday

Third day learn to use a web , to reading  news from difference international , and local media  ,I got information ,I believe improved  for  worked,the training is the best of my job  ,after training i will go at home to celebrate  my family becouse to day is public holiday for Islamic ,is  Idd  El haj, thank you every one we most well come to joined cerebrate together my family 

  Idd        Mubaraka

Monday, November 15, 2010

tanzania online media is developing fast

years. More recently, Tanzania is believed to have been populated by hunter-gatherer communities, probably cushitic and Khoisan speaking people.

About 2000 years ago, Bantu-speaking people began to arrive from western Africa in a series of migrations. Later, Nilotic pastoralists arrived, and continued to immigrate into the area through to the 18th century.

Travellers and merchants from the Persian Gulf and Western India have visited the East African coast since early in the first millennium CE. Islam was practised on the Swahili coast as early as the eighth or ninth century CE.

In the late 19th century, Imperial Germany conquered the regions that are now Tanzania (minus Zanzibar), Rwanda, and Burundi, and incorporated them into German East Africa. The post-World War I accords and the League of Nations charter designated the area a British Mandate, except for a small area in the northwest, which was ceded to Belgium and later became Rwanda and Burundi).

British rule came to an end in 1961 after a relatively peaceful (compared with neighbouring Kenya, for instance) transition to